Semenya aibwaga IAAF mahakamani

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Catser Semenya. Picha na Mtandao wa eNCA

Spread the love

Mahakama nchini Uswisi, imemwondolea sharti mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya aliyekuwa ameagizwa na Shirikisho la mchezo wa riadha duniani IAAF, kupunguza homoni zake ili kuruhusiwa kuendelea na mashindnai ya riadha.

Semenya bingwa wa Michezo ya Olimpiki katika mbio za mita 800 amekuwa na changamoto ya kutokana na hali yake ya jinsia wengi wakishuku kuwa ana homoni nyingi za kiume.

Ahueni hii imekuja baada ya kukataa rufaa, mwezi mmoja mmoja baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Michezo kusimama na uamuzi wa IAAF.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *