Ukimya watawala, kumbukumbu ya mauaji yaTiananmen

Spread the love

China inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa makabiliano kati ya waandamanaji na maafisa wa polisi jijini Beijing na kusababisha idadi ya kati ya watu 1,000 hadi 1,5000 kupoteza maisha.

Maafisa jijini Beijing, wameimarisha usalama kuhakikisha kuwa maandamano hayafanyiki katika katike eneo la Tiananmen kuwakumbuka walipoteza maisha, suala ambalo serikali ya China imesema nguvu iliyotumiwa wakati huo, ilikuwa sahihi.

Waandamanaji wakiongozwa na wanafunzi, walijitokeza siku kama ya leo mwaka 1989 jijini Beijin kutaka mabadiliko ya kisiasa na uchumi, na kukabiliwa kwa nguvu na maafisa wa usalama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *