Wanafunzi 103 wapata mimba kwa mwaka mmoja

Spread the love

Serikali mkoani Mwanza imesema wanafunzi 103 walipata mimba mwaka 2017/18 huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni utoto. Wanafunzi hao ni wa shule za msingi.

Ofisa Elimu wa mkoa wa Mwanza, Michael Ligola wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya elimu mkoani humo.

Chanzo cha tatizo hilo kimetajwa kuwa ni utoto huku idadi ya jumla ya wanafunzi walioacha shule ikiwa 2646 na sababu nyingine zikiwa ni magonjwa, utoro, vifo na utovu wa nidhamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *