Hii ndio migogoro iliyotelekezwa duniani

Orodha ya mataifa ambayo migogoro yake imeshindikana. Picha taarifa na NRC

Spread the love

Dunia ni uwanja wa vita na ndio maana kila ukiamka utasikia vifo, furaha, majanga na mambo mengi.

Shirika la kusaidia wakimbizi la Norway (Norway Refugee Council) limeorodhesha migogoro kumi ambayo dunia imeshindwa kuipatia ufumbuzi.

Namba moja ni Cameroon ambako waasi wanaotoka katika maeneo yanayozungumza lugha ya kiingereza yanapigana na utawala wa rais Paul Biya wakitaka kujitenga, mamia ya watu wameuawa na jumuiya ya kimataifa ingali kimya.

Burundi ambako tangu jaribio la mapinduzi lililofeli mwaka 2015, mamia ya watu wameuliwa na wengine kukimbilia nchi jirani za Tanzania, Rwanda na Uganda.

Migogoro mingine iliyosahaulika, ni DRC, Palestina, Venezuela, Ukraine, Libya, Mali, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya kati

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *