Ronaldo: Kinara wa mabao timu ya Taifa

Christiano Ronaldo akishangilia na mchezaji mwenzake Bernardo Silva baada ya kufunga bao dhidi YA Uswisi. Picha na AFP

Spread the love

Christiano Ronaldo ameibuka tena na kuifungia nchi yake ya Ureno mabao matatu wakati ikiichakaza Uswisi mabao 3-1 na kufuzu fainali ya michuano ya Uefa League.

Mchezo huo umechezwa jana katika Uwanja wa Dragao Mjini Lisbon.

Kabla ya mchezo huo, Ronaldo alicheza mechi mbili tu kati ya mechi nane za kimataifa za Ureno na sasa amefikisha mabao 88 aliyoifungia nchi yake tangu 2003.

Ureno sasa itacheza na mshindi wa mchezo baina ua Uingereza na Uholanzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *