Usalama wa chakula ni changamoto duniani

Usalama wa chakula bado ni changamoto katika maeneo mengi duniani wakati huu dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa ya usalama wa chakula

Spread the love

Dunia leo inaadhimisha siku ya kimataifa ya usalama wa chakula huku kauli mbiu ikiwa ni usalama wa chakula ni jukumu la kila mmoja.

Siku hii inaadhimishwa katika wakati ambao dunia inatekeleza mpango mkakati wa maelengo endelevu ya dunia ya mwaka 2030, huku saualama wa chakula ikiwa ji suala mtambuka.

Siku hii hudhimishwa kwa lengo la kutathimini jitihada zinazopigwa katika kuandaliwa, kutunzwa na kutumiwa.

Hata hivyo mataifa kadhaa duniani yanakabiliwa na ukosefu wa chakula ikiwemo Somalia na kaskazini mwa kenya.

Hata hivyo siku hii hutumika kutoa elimu na uelewa wa wanananchi na utayari wa kisiasa ili kuchagiza ustawi wa maisha ya binadamu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *