Kumbe Jonas Savimbi alikuwa na wake 79

Kiongozi wa upinzani wa muda mrefu nchini Angola, Jonas Savimbi aliuawa mwaka 2002.(Picha na Jacky COOLEN/Gamma-Rapho

Spread the love
Kumekuwa na maelezo ambayo yanamhusu kiongozi wa UNITA, Jonas Savimbi ambaye aliongoza vita vya msituni dhidi ya Serikali ya Angola. Baadhi yanayosema,
1, Savimbi alikuwa raia Wa Namibia.
2, Alikuwa na Wake 79.
3,  Savimbi alisalitiwa na Marekani miaka ya 2000.
4, Savimbi alikuwa na nguvu za kimungu na miujiza.
5, Savimbi aliuliwa na shirika la ujasusi la Israel linaloitwa MOSAD na wakapotea na Mwili wake.
6. Savimbi ndio aliongoza vita virefu vya msituni kuliko vyote kusini mwa jangwa la Sahara. Miaka 27
7. Savimbi alikuwa mhasi au mpigania Uhuru???
8. Vijana Wa chama Tawala cha Angola MPLA waliiba mwili Wa Savimbi wakautumbukiza kwenye tindikali. Hivyo hakuna masalia ya Savimbi.
9. Savimbi alisalitiwa na mke mdogo.
10. Savimbi aliiba madini na kuwapa mabeberu. Alipodai maslahi makubwa wakamtelekeza.
Hayo na mengine mengi nimeyachambua kwenye kipindi cha The Biography. Unaweza kukitazama kupitia link hiyo hapo chini kwenye YouTube.
Francis Daudi.
Francis Daud, mwanahistoria

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *