Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars aaga dunia

Said Mtupa, mchezaji wa zamani wa Prisons ya Mbeya alieaga dunia jana Mkoani Mbeya.

Spread the love

Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Said Mtupa amefariki dunia jana Mkoani Mbeya.

Ripoti zilizochapishwa na ukurasa wa Instagram wa Timu ya Tanzania Prisons aliyoitumikia kwa miaka mingi zimesema mchezaji huyo alipata ajali ya pikipiki katika eneo la Iwambi jijini Mbeya.

Katika maisha yake ya soka aliitumikia Prisons akiwa sambamba na kaka yake Sahabn Mtupa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *