Fainali za Kombe la dunia za wanawake, kufikia tamati hatua ya makundi leo

Fainali za kombe la dunia za wanawake zinafanyika nchini Ufaransa zikishirikisha mataifa 24

Spread the love

Fainali za Kombe la dunia kwa wanwake zinazoendelea nchini Ufaransa zinamaliza hatua ya makundi leo kwa michezo kadhaa kuchezwa.

Saa 11 kwa saa za Afrika Mashariki, Cameroon itachuana na News Zealand nayo Uholan zi itapambana na Canada.

Usiku saa nne Sweden itachuana na Marekani wakati Thailand itakabiliana na Chile.

Jana England iliishinda Japan kwa mabao 2-0 na Argentina na Scotland zilitoshana nguvu kwa kufungana m,abao 3-3.

Mechi za hatua ya 16 bora zinatazamiwa kuanza Juni 22.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *