Wafanyakazi watano wa Azam Media waangamia katika ajali ya gari Mkoani Singida

Ofisi za Azam Media zilizopo Tabata Jijini Dar es Salaam

Spread the love

Wafanyakazi watano wa kampuni ya Azam Media ni miongoni mwa watu saba waliopoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea leo Mkoani Singida.

Ajali hiyo imetokea leo asubuhi katika eneo la Shelui lililopo Mkoani Singida na kwamba watu watatu wamejeruhiwa

Vyanzo vya taarifa kutoka ndani ya kampuni ya Azam Media vimenukuliwa na gazeti la kila siku la The Citizenvimesema kampuni hiyo itatoa taarifa hapo baadaye kuhusu tukio hilo.

Endelea kufuatilia mtandao huu ili kufahamu zaidi kuhusu kisa hiki…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *