Twitter yafikisha watumiaji milioni 321

Mtandao wa kijamii wa Twitter unaendelea kukua tangu kuasisiwa kwake mwaka 2006

Spread the love

Mtandao wa kijamii wa Twitter umeendelea kukua duniani kote na ripoti ya Februari 2019 inaonyesha kuwa kwa sasa mtandao huo una watumiaji hai milioni 321 duniani kote.

Kampuni ya Twitter iliasisiwa Machi 21 mwaka 2006 na ilianza rasmi kutumika Julai mwaka huohuo wa 2006.

Kwa mujibu wa tovuti ya twitter.com lengo la kampuni hiyo ni kukua siku hadi siku na kuwafikia mamilioni ya watu duniani kote.

Mtandao huo unaeleza kuwa kamouni ya Twitter kwa mwaka 2018 pekee ulikusanya mapato yanayofikia dola bilioni 3.04 huku ukiwa na wafanyakazi 3900.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *