Hoteli sita za kitalii zilizopo Kisiwani Pemba

Constance Aiyana, Mojawapo ya boteli za kitalii zinazopatikana kisiwani Pemba

Spread the love

Pemba ni mojawapo ya visiwa viwili vikubwa vinavyounda kisiwa cha Zanzibar ambacho ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pemba iko umbali wa kilomita 50 kutoka kisiwa kikubwa cha Unguja na ina ukubwa wa kilomita za mraba 980 na inakisiwa kuwa na wakazi karibu laki tano.

Mji mkuu wa kisiwa hicho ni Chakechake.

Hayo yote ni tisa kumi ni uwepo wa hoteli kadhaa za kitalii kisiwani humo kutokana na kisiwa hicho kusifiwa kwa shughuli za utalii kwa mujibu wa mtandao wa booking.com

Pemba Misali Sunset Beach inapatikana eneo la Mishale. Hoteli hii pia imezungukwa na fukwe na miti kadhaa huku ikiwa na hduma kamili ya mtandao.

Inaelezwa kuwa mtu anayetaka kulala katika hoteli hiyo anahitaji kuwa na Shilingi 209,299 za kitanza kwa siku ili kulala katika hoteli hiyo.

Hoteli nyingine Hoteli Archpelago, Pemba Paradise, Emerald Bay Resort, Lala Lodge Pemba na Constance Aiyana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *